2 Chronicles 5:10

10 aNdani ya Sanduku hapakuwepo kitu kingine chochote isipokuwa zile mbao mbili ambazo Musa alikuwa ameziweka ndani yake huko Horebu, mahali ambapo Bwana alifanya Agano na Waisraeli baada ya kutoka Misri.

Copyright information for SwhKC